Habari za Punde

Innaa lilaahi waina ilayhi rajiuun.Seif Mfaume Maarufu Seif Maya.

Inna lilaahi wa inna ilayhi raajiuun

Beki wa zamani wa Black Fighters, Seif Mfaume maarufu sepp Mayer ambae amewahi kuwa diwani Miembeni amefariki dunia Dsm maziko maziko yamefanyika Jana saa 7 Jang'ombe mzizima na kuzikwa kijijini kwao

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.