MAKAMU wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akiangalia bidhaa za matunda na mboga
mboga wakati alipotembelea duka la kilimo katika Banda la JKU huko katika
maonyesho ya Chakula Duniani, kabla ya kufuyafunga maonyesho hayo huko
Chamanangwe Wilaya ya Wete
MAKAMU wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali iddi, akiangalia kanzu inayotengenezwa katika
kiwanda cha Ushoni cha JKU Zanzibar, wakati alipotembelea mabanda mbali mbali
ya maonyesho ya Chakula duniani, kabla ya kufuyafunga maonyesho hayo huko
Chamanangwe Wilaya ya Wete
MAKAMU wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali iddi, akiangalia vyakula mbali mbali vya asili
vinavyopatikana katika banda la JKU, wakati alipotembelea banda hilo lililomo
ndani ya maonyesho ya Chakula Duniani, kabla ya kufuyafunga maonyesho hayo huko
Chamanangwe Wilaya ya Wete
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif
Ali iddi, akiangalia moja ya dawa mifugo ambayo huzidisha uzalishaji wa kuku wa
kisasa pale wanapotumia, kutoka katika mmojaya mabanda ya wajasiriamali
lilililomo katika maonyesho ya Chakula Duniani kabla ya kufuyafunga maonyesho
hayo huko Chamanangwe Wilaya ya Wete
MAKAMU wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akiangalia shada la alizeti wakati
alipotembelea banda la kaya masikini shehia ya Mjini Ole, katika maonyesho ya
Chakula duniani kabla ya kufuyafunga maonyesho hayo huko Chamanangwe Wilaya ya
Wete
MAKAMU wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akiangalia dagaa kavu linalotengenezwa
na wajasiriamali wa Pemba, huko katika maonyesho ya Chakula Duniani, kabla ya
kufuyafunga maonyesho hayo huko Chamanangwe Wilaya ya Wete.
MKUU wa Mkoa wa
kusini Pemba Omar Othman Khamis, akizungumza katika ufungaji wa maonyesho ya
siku ya Chakula Duniani, huko katika maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani
huko katika Eneno la Chamanangwe Wilaya ya Wete
NAIBU Waziri Wizara
ya Kilimo Maliasi Mifugo na Uvuvi Zanzibar DK Makame Ali Ussi, akizungumza
katika ufungaji wa maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani huko katika Viwanja
vya Chamanangwe Wilaya ya Wete
MAKAMU wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akizungumza katika ufungaji wa
maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani, katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya
ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba
MAKAMU wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akimkabidhi vifaa vya umwagiliaji maji,
Mkulima Abdalla Miraji Abdalla mshindi wa Pili wa katika upande wa
wajasiriamali wadogo wadogo walioshiriki katika maonyesho ya siku ya Chakula
Duniani, huko Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba
MAKAMU wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akikabidhi Kombe mwakilishi wa Idara ya
Kilimo Pemba Amini Rashid Mdowe, baada ya idara hiyo kuibuka mshindi jumla
katika maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani huko Chamanangwe Wi,laya ya Wete
MAKAMU wa Pili wan Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,
akimkabidhi zawadi Afisa mdhamini Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Pemba
Mohamed Salim Nassor, kwa niaba ya uongozi wa Chuo cha maafunzo ya amali
Vitongoji kuibuka mshindi wa pili katika taasisi za Serikali, kwenye maonyesho
ya siku ya Chakuda duniani huko Chamanangwe Wilaya ya Wete.(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)
No comments:
Post a Comment