Mchezaji wa Timu ya Zimamoto na KVZ wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Netiboli Kanda ya Unguja Mchezo uliofanyika Uwanja wa Gymkhana uliokuwa na ushindani mkubwa kwa pande zote pili kuoneshani uwezo. Timu ya Zimamoto imeshinda kwa tabu kwa mabao 41-40.
TEA, UNICEF NA MAPINDUZI YA SAYANSI MASHULENI - SONGWE.
-
Afisa miradi kutoka TEA Bi. Atugonza David akikagua maabara ya Sayansi
Shule ya Sekondari Itumba ambayo imekarabatiwa na kumaliziwa ujenzi na TEA
kwa kush...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment