Habari za Punde

Mradi Ujenzi wa Mitaro ya Maji Machafu Katika Maeneo Yanakojaa Maji Eneo la Sebleni Unguja.

Mradi wa Ujenzi wa Mtaro katika maeneo mbalimbali yanayojaa maji ukiendelea na ujenzi huo wa Maji Machafu katika eneo la Sebleni Unguja ukiendelea na ujenzi huo katika eneo hilo linalojaa maji wakati wa mvua za masika na kusababisha wakazi wa eneo hilo kujaa maji na kuleta maafa kwa wakazi wa eneo hilo.
Muonekano wa Mtaro wa Sebleni ukiendelea na ujenzi wake eneo hilo hujaa maji wakati wa mvua za masika na kusababisha wakazi hao kuhama kwa muda. Mtaro huu utakuwa ufumbuzi wa Wakazi wa Eneo hilo na la jirani la maeneo ya Kwa Mtumwa Jeni na kwerekwe. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.