Habari za Punde

Mradi wa Ujenzi wa Miundombinu ya Mitaro ya Maji Machafu Ukiendelea Katika Maeneo ya Chukwani na Kiembesamaki Zanzibar.

Kijiko cha Kampuni ya CRJE inayojenga Mitaro ya Maji katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar.kama inavyoonekana kikiwa katika zoezi hilo mitaa ya mbweni Zanzibar kikichimba mtaro huo ukitokea katika eneo la barabara ya kiembesamaki na kupelekea maji maeneo ya pwani ya mazizini. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.