KATIBU Tawala Wilaya ya Wete Mkufu Faki Ali akizungumza na wanafunzi wa
Skuli Sekondari Utaani na Chasasa ikiwa ni muendelezo wa ziara zao kwa ajili ya
kuwapa mawaidha wanafunzi ambao wanatarajiwa kufanya mtihani wa kidato cha nne.
WANAFUNZI
wa Skuli ya Sekondari Utaani na Chasasa wakimsikiliza Katibu Tawala Wilaya ya
Wete Mkufu Faki Ali alipokuwa akizungumza nao huko katika ukumbi wa Skuli ya
Chasasa ikiwa ni muendelezo wa ziara za viongozi wa Wilaya hiyo kutembelea na
kuzungumza na wanafunzi wanatarajiwa kufanya mitihani yao ya kidato cha nne.
(Picha na Said Abdulrahaman - Pemba)
No comments:
Post a Comment