Habari za Punde

Bonaza la Benki ya Watu wa Zanzibar Mchezo wa Mpira wa Ufukweni Wafutia Wengi Katika Ufukwe wa Pwani ya Kendwa Rocks Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ndg Juma Ameir Hafidh mwenye katikati akishiriki katika mchezo wa Mpira wa Ufukweni katika Bonaza la Pili la PBZ 2018,lililowashirikisha Wafanyakazi wa PBZ katika viwanja vya Ufukwe wa Hoteli ya Kendwa Rocks Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar Limited (PBZ) walioshiriki mchezo wa mpira wa ufukweni wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuaza mchezo huo uliokuwa na Timu mbili ya Red na Yellow. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.