Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, Ahudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Blue Economy Nchini Kenya Akimuwakilisha Rais wa Tanzania Mhe.Magufuli.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Mhe.Balozi.Monica Juma alipowasili katika viwanja vya Jengo la Mkutano la Ukumbi wa Kenyatta Jijini Nairobi Kenya kuhudhudhuria Mkutano wa Blue Economy, kulia Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Kenya Ndg. Ababu Namwamba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Kenya Ndg. Ababu Namwamba alipowasili katika viwanja vya jengo la Mikutano la Kenyatta Jijini Nairobi Kenya kuhudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Uchumi Endelevu wa Bahari.

Wajumbe wa Mkutano wa Kimataifa wa Uchumi Endelevu wa Bahari (Sustainable Blue Economy) wakiwasili katika viwanja vya jengo la ukumbi wa Mkutano wa Kimataifa la Kenyatta Jijini Nairobi Kenya kuhudhuria mkutano huo. 
Rais wa Jamuhuri ya Watu wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta, akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya alipowasili katika viwanja jengo la Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano la Kenyatta Jijini Nairobi kwa ajili ya kuufungua Mkutano huo. 
 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.