Habari za Punde

Wajumbe wa Bodi ya Mfuko wa Barabara Zanzibar Wakitembelea Miundombinu ya Barabara Kisiwani Pemba.

WAJUMBE wa Bodi ya Mfuko wa Barabara Zanzibar wakiangalia athari zilizotokana na mfua kubwa, kuharibu eneo barabara Kifimbi Kae Wilaya ya Wete, huku Idara ya UUB ikichukuwa hatua ya kujenga kuta kuzuwia barabara kuliwa na maji ya Mvua
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Shomar Omar Shomar, akibadilishana mawazo na Mkuu wa Wilaya ya Wete Abeid Juma Ali kushitoa, baada ya kukagua eneo la barabara Kizimban
MWENYEKITI wa Bodi ya Mfuko wa Barabara zanzibar Mwalimu Haji Ameir, katikati mwenyekofia akimsikiliza kwa makini Mhandisi Mkaazi wa Wziara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Pemba, Khamis Massoud wakati alipokuwa akitoa taarifa juu ya barabara ya Finya-Kicha ambao kwa sasa inataka kutengenezwa
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.