Habari za Punde

Kutoka Viwanja Vya Bunge Jijini Dodoma.

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, wakiwa nje ya ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma, wakibadilishana mawazo  katika  kwenye viwanja vya Bunge.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kilolo, Venance Mwamoto  (katikati) na Mbunge wa Mufindi Kaskazini, Mahmoud Mgimwa (kushoto) kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Novemba 14, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.