Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya Chuoni na Zimamoto Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Zimamoto Imeshinda Bao.2-1.

Mshambuliaji wa Timi ya Zimamoto Mussa Shaban akimpita beki wa Timu ya Chuoni Khamis Haji akijaribi kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Zimamoto imeshinda bao 2-1.
Wachazaji wa Timu ya Chuoni na Zimamoto wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Zimamoto imeshinda mchezo huo kwa bao 2-1.
Bao la kwanza la Timu ya Chuoni wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.Timu ya Zimamoto imeshinda mchezo huo kwa bao 2-1.
Mfungaji wa bao la kwanza la Timu ya Chuoni akishangilbao hilo wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar. Katika mchezo huo Timu ya Zimamoto imeshinda bao 2-1. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.