JAMHURI YA MUUNGANO
WA TANZANIA
WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

Telegrams” “MALIASILI” Mtaa wa Kilimani
Tel: +255 26 2321514/2321568 Barabara ya Askari,
40472 DODOMA.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA
HABARI
UTEUZI WA WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI WA MAMLAKA YA
HIFADHI YA WANYAMAPORI - TAWA
Kufuatia uamuzi
uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli, wa kumteua Meja Jenerali (Mstaafu) Hamisi R. Semfuko kuwa
Mwenyekiti wa Mamlaka ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania – TAWA, Waziri wa
Maliasili na Utalii Mheshimiwa Dkt. Hamisi A. Kigwangalla (Mb.), amefanya
uteuzi wa wajumbe wa Bodi ya TAWA kama ifuatavyo:
(i)
Dkt.
James V. Wakibara
(ii)
Dkt.
Fredy S. Manongi
(iii)
Bw.
Robert C. Mande
(iv)
Bi
Sauda K. Msemo
(v)
Luteni
Kanali Christian A. Ng’habi
(vi)
Dkt.
Andrew M. Komba
(vii)
CP
Suzan S. Kaganda
(viii)
Dkt.
Fabian M. Madele
(ix)
Mkurugenzi
Mkuu wa TANAPA (Dkt. Allan J.H. Kijazi)
(x)
Mkurugenzi
wa Wanyamapori (Kwa mujibu wa Sheria)
Uteuzi huu ni wa
miaka mitatu kuanzia tarehe 26 Oktoba,
2018.
Prof. Adolf F. Mkenda
KATIBU MKUU
04 Novemba, 2018
No comments:
Post a Comment