Habari za Punde

Wafanyakazi Wizara ya Fedha Kisiwani Pemba Wapatia Mafunzo ya Sheria ya Usimamizi wa Fedha Namba 12 ya Mwaka 2016.

 MKUU wa Mkoa wa kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla, akifungua mafunzo ya sheria ya usimamizi wa fedha namba 12 ya mwaka 2016, huko katika ukumbi wa ZSSF Kariakoo Chake Chake Pemba
 AFISA Mdhamini Wizara ya Fedha na Mipango Pemba Ibrahim Saleh Juma, akitoa neno la shukurani kwa mkuu wa Mkoa wa kusini Pemba baada ya kufungua mafunzo ya Sheria ya usimamizi wa Fedha Namba 12 ya mwaka 2016, huko katika ukumbi wa ZSSF Kariakoo Chake Chake Pemba
 Muhasibu Mkuu wa Serikali Mwanahija Almas Ali akiwasilisha mada ya Ijue Hazina ya Serikali, wakati wa mafunzo ya sheria ya usimamizi wa fedha namba 12 ya mwaka 2016 kwa watendaji mbali mbali wa Serikali Pemba, huko katika ukumbi wa ZSSF Kariako Chake Chake Pemba
 Watendaji mbali mbali wa Wizara ya Fedha na Mipango wakifuatilia uwasilishaji wa mada mbali mbali katika mafunzo ya sheria ya Usimamizi wa Fedha namba 12 ya mwaka 2016, huko katika ukumbi wa ZSSF Kariakoo Chake Chake Pemba


WATENDAJI mbali mbali wa serikali Kisiwani Pemba, wakiongozwa na wakuu wa wilaya na maafisa wadhamini wakifuatilia kwa makini ufunguzi wa mafunzo ya sheria ya usimamizi wa fedha ya namba 12 ya mwaka 2016, huko katika ukumbi wa ZSSF Kariakoo Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN. PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.