Habari za Punde

Maadhimisho ya Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad SAW ya Jumuiya wa Wanawake wa Msjid Mushawar Muembeshauri Zanzibar.

Naibu Waziri Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Choum Kombo Khamis akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad SAW yaliofanyika katika Masjid Mushawar Muembeshauri Zanzibar.Akimuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.