Habari za Punde

Mradi wa Usambazaji wa Maji Katika Maeneo ya Mjini Ukiendelea na Uwekaji wa Mabomba Yakitokea Katika Kisima cha Bumbwisudi Unguja.

Kampuni inayosambaza Mabomba ya Maji Safi na Salama kutoka katika Kisima Kipya cha Bumbwisudi hadi welezo wakiendelea na uwekaji wa  mabomba hayo,wakiwa katika eneo la mazingini wakiendelea na uwekaji wa mabomba hayo. Ili kuweza kutoka huduma hiyo kwa Wananchi wa Mji wa Unguja na Vitongoji vyake. 
Zoezi la uwekaji wa mabomba mapya ya kusambazia maji safi na salamakatika Maeneo ya Mjini ukiendelea katika maeneo ya masingi Unguja yakitokea katika Kisima cha Bumbwisudi Unguja hadi kumalizikia katika matangi ya maji Welezo na kusambaza katika maeneo ya Mjini.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.