Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein Azindua Mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, kushoto Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashi Mohammed.  
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Daktari Bingwa wa Uchunguzi katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar Dr. Msafiri Marijani, akitowa maelezo ya viashiria vya Saratani ya Shingo ya Kizazi wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi uliofanyika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar,kulia kwa Rais Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed nna Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na kushoto Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar.Bi. Asha Abdallah Ali
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Daktari Bingwa wa Uchunguzi katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar Dr. Msafiri Marijani, akitowa maelezo ya viashiria vya Saratani ya Shingo ya Kizazi wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi uliofanyika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar,kulia kwa Rais Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed nna Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na kushoto Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar.Bi. Asha Abdallah Ali
NAIBU Rais wa Hospitali ya Naijing Drum Tower ya China Dkt. Yu.Chenggong akitowa maelezo kuhusiana na Mradu huo wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni 
BALOZI Mdogo wa Chini anayefania kazi zake Zanzibar Balozi Xie Xiaowu, akizungumza na kutowa Salamu za Nchi yake wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Cha Afya Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil wakifuatilia hafla hiyo ya Uzinduzi wa Mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi Zanzibar, iliozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar Mhe. Dk. Shein. 


WAZIRI wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed akizungumza wakati wa hafla hiyo ya Uzinduzi wa Mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi Zanzibar, uliofanyika katika katika ukumbi wa Sheikh Idisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar Mhe. Dk. Shein, kuzindua Mradi huo leo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheti Balozi wa Mradi wa Uchuguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi Zanzibar Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma, wakati wa uzinduzi huo uliofanyika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi Zanzibar,uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
MADAKTABI Bingwa kutoka Nchini China wanaofanyia Kazi zao katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizindua Mradi huo katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar.Mhe. Mahmoud Thabit Kombo wa kwanza akiwa Katibu Mkuu kutoka Wizara ya Afya Nchini Sierra Leone Ndg. David Banya, wakiwa na Viongozi wa Serikali wakifuatilia hafla hiyo ya uzinduzi wa Mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Cha Afya Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil wakifuatilia hafla hiyo ya Uzinduzi wa Mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi Zanzibar, iliozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar Mhe. Dk. Shein. 
MADAKTABI Bingwa kutoka Nchini China wanaofanyia Kazi zao katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizindua Mradi huo katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Wawakilishi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa Visiwani Zanzibar wakifuatilia hafla hiyo.
BAADHI ya Waalikwa na Wafanyakazi wa Wizara ya Afya Zanzibar wakifuatilia hafla hiyo ya Uzinduzi wa Mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi Zanzibar , uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
BAADHI ya Waalikwa na Wafanyakazi wa Wizara ya Afya Zanzibar wakifuatilia hafla hiyo ya Uzinduzi wa Mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi Zanzibar , uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Waziri wa Afya Zanzibar  Mhe. Hamad Rashid Mohammed baada ya kumalizika hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Uchunguzi wa Saraetani ya Shingo ya Kizazi Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.