Habari za Punde

Bonaza la Michezo la Wafanyakazi wa Shirika la Umeme Kisiwani Pemba Ufukwe wa Bahari ya Micheweni.

TIMU ya TO wa ZECO ambayo ikiivuta moja ya timu pinzani Mohamed Saidi Soud, wakati wa bonanza maalumu la kusheherekea ubingwa wa Mei mosi na Kombe la Ukimwi walioyapata mwaka 2018, Timu hiyo ya TO imeibuka bingwa katika michezo mitatu mfululizo, uvutaji wa kamba, mbio za miata 100 na mbizo za maguni
MCHEZAJI wa Timu ya TO wa ZECO Soud Haji akiibuka mshindi wa kwanza katika bonanza maalumu la ZECO katika mbio za magunia lililofanyika katika Fukwe za Vumawimbi Wilaya ya Micheweni
MCHEZAJI Matar Abdalla kutoka timu ya TO wa ZECO akiibuka mshindi wa kwanza katika mbio za mita 100, wakati wa kusheherekea bonanza maalumu la kutwaa ubingwa wa kombe la Mei Mosi na Ukimwi mwaka 2018, bonanza hilo lilifanyika katika fukwe za Vumawimbi (Picha na Abdi Suleiman - Pemba)  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.