Habari za Punde

Rais Dk Shein afungua Jengo la jipya la wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ya Zanzibar pamoja na Maabara ya Vinasaba(DNA) Jengo la jipya la wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ya Zanzibar pamoja na Maabara ya Vinasaba(DNA) lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein Maruhubi Wilaya ya mjini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein akikunjuwa kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Jengo jipya la wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ya Zanzibar pamoja na Maabara ya Vinasaba (DNA) Maruhubi Wilaya ya mjini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein akikata utepe  kuashiria Ufunguzi wa Jengo jipya la wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ya Zanzibar pamoja na Maabara ya Vinasaba(DNA)Maruhubi Wilaya ya mjini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Jengo jipya la wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ya Zanzibar pamoja na Maabara ya Vinasaba(DNA)Maruhubi Wilaya ya mjini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  Baadhi ya Wageni waalikwa waliohudhuria katika Ufunguzi wa Jengo jipya la wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ya Zanzibar pamoja na Maabara ya Vinasaba(DNA)Maruhubi Wilaya ya mjini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Asha Ali Abdulla akizungumza machache katika sherehe za  ufunguzi wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ya Zanzibar pamoja na Maabara ya Vinasaba(DNA)Maruhubi Wilaya ya mjini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein akipokea zawadi maalum aliokabidhiwa na Mkemia Mkuu wa Serikali ya Zanzibar Dk,Silima Rashid Juma katika sherehe za  ufunguzi wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ya Zanzibar pamoja na Maabara ya Vinasaba(DNA)Maruhubi Wilaya ya mjini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.