Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Magufuli Amjulia Hali Mhe. Charles Kitwanga, aliyelazwa Hospitali ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam.

 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli akimsalimia Mhe. Charles Kitwanga akiwa na Mkewe Mama Janet Magufuli walipofika Hospitali ya Muhumbili kumjulia hali.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.