Mkurugenzi
Mkuu na Rais wa Kitengo cha Elimu la Jumuiya ya Madola (COL), Profesa Asha
Kanwaramwe akizungumza wakati wahafla ya kufunga mkutano wa kimataifa wa
kupokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa mradi wa Girls Inspire wenye lengo la
kuzuia ndoa za utotoni uliofanyika Jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansina
Teknolojia Dkt. Ave Maria Semakafu akifunga mkutano wa kimataifa wa kupokea na
kujadili taarifa ya utekelezaji wa mradi wa Girls Inspire wenye lengo la
kuzuia ndoa za utotoni uliofanyika Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mkuu na Rais wa Kitengo cha Elimu la Jumuiya ya Madola (COL), Profesa Asha
Kanwaramwe akizungumza wakati wahafla ya kufunga mkutano wa kimataifa wa
kupokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa mradi wa Girls Inspire wenye lengo la
kuzuia ndoa za utotoni uliofanyika Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment