Habari za Punde

Waziri wa Kilimo na Masuala ya Ardhi Jamuhuri ya Kiarabu ya Watu wa Misri Dkt. Ezzaldin O. Abusteit Akutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein Ikulu Zanzibar,Leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na mgeni wake Waziri wa Kilimo na Masuala ya Ardhi wa Jamuhuri ya Kiarabu ya Watu wa Misri Dkt. Ezzaidin O.Abusteit, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo.3-2-2018. akiwa na Ujumbe wake wakiwa Zanzibar kwa ziara Maalum.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizalimiana na Ujumbe aliofuatana nao Waziri wa Kilimo na Masuala ya Ardhi Jamuhuri ya Kiarabu ya Watu wa Misri, walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. AliMohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Kilimo na Masuala ya Ardhi wa Jamuhuri ya Kiarabu ya Watu wa Misri Dkt. Ezzaldin O.Abusteit, alipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo leo kulia Ujumbe huo wakifuatilia mazungumzo hayo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na mgeni wake Waziri wa Kilimo wa Jamuhuri ya Kiabu ya Watu wa Misri. Dkt. Ezzaldin  O.Abusteit, alipofika ikiku kwa mazungumzo akiwa Zanzibar kwa ziara maalum.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Kilimo na Masuala ya Ardhi wa Jamuhuri ya Kiarabu ya Watu wa Misri Dkt. Ezzaldin O.Abusteit, alipofika Ikulu Zanzibar,kushoto Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,wakifuatilia wakifuatilia mazungumzo hayo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na mgeni wake Waziri wa Kilimo wa Jamuhuri ya Kiarabu ya Watu wa Misri Dkt. Ezzaldin .O.Abusteit, wakitoka ukumbini baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika leo Ikulu Zanzibar. alipofika kuonana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Shein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Waziri wa Kilimo wa Masuala ya Ardhi, wa Jamuhuri ya Kiarabu ya Watu wa Misri.Dkt.Ezzaldin O.Abusteit, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika leo Ikulu Zanzibar. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.