Habari za Punde

Mkuu wa Wilaya ya Wete ashiriki usafi Hospitali ya Wete

 MKUU wa Wilaya ya Wete Abeid Juma Ali akifanya usafi wa mazingira katika hospitali ya Wete, ikiwa ni shamra shamra za kutimia miaka 42 ya kuanzishwa kwa jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) Zanzibar.  (PICHA NA SAID ABDULRAHMAN PEMBA) 


WAPIGANAJI wa Jeshi la Kujenga Uchumi (Jku) Pemba wakishiriki katika zoezi la usafi huko katika hospitali ya Wete, ikiwa ni shamra shamra za kusherehekea kutimiza miaka 42 ya kuanzishwa kwa jeshi hilo, ( PICHA NA SAID ABDULRAHMAN PEMBA )  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.