Habari za Punde

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pemba Ampongeza Mwanafuzi Bora.

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali  Zanzibar Mhe Riziki Pembe Juma akiwa na mwanafunzi Jokha, aliefaulu michepuo ya ufundi  kutoka Skuli ya Msingi Madungu alipofika kuikagua Skuli hiyo, kushoto ni Afisa Mdhamini Wizara ya Elimu Pemba Mwalim Mohammed Nassor Salim na kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Dkt Idrisa Muslim Hija.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.