Habari za Punde

Mahafali ya 14 ya Chuo Cha Taifa Zanzibar SUZA Kutunukisha Vyeti, Stashahada,Shahada, Shahada za Uzamili na Shahada za Uzamivu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Dkt.Muslim Hijja, alipowasili katika viwanja vya Chuo Kikuu cha SUZA Tunguu leo kuhudhuria hafla ya Mahafali ya 14 yaliofanyika katika Ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu Zanzibar leo,23/4/2019.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar SUZA Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na Makamo Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar Profesa Idrisa Rai wakiingia katika ukumbi wa Mahafali ya 14 wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu Zanzibar.
Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar SUZA wakiwa katika Maandamano ya Mahafali ya 14 ya Chuo hicho wakiingia katika Ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein, Tunguu Zanzibar leo.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.