Habari za Punde

Wajumbe wa kamati ya maendeleo ya watumishi wa umma wafanya usafi hospitali ya Vitongoji

 MJUMBE wa kamati ya Maendeleo ya watumishi wa Umma Pemba Hidaya Yussuf, akimkabidhi sabuni mama moja ambaye anamuuguza mtoto wake katika hodi ya watoto Hopitali ya Vitongoji Chake Chake Pemba, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 55 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.(PICHA NA SHAIBU KIFAYA PEMBA)
 WAJUMBE wa kamati ya Maendeleo ya watumishi wa Umma Pemba,wakifanya usafi kwa kukata majani katika Hospitali ya Vitongoji, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 55 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.