WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Riziki Pembe Juma amefanya mazungumzo na ujumbe wa Shirika la misaada la Sweden SIDA Bwana Ulf Kallstig huko ofisini kwake Mazizini Mjini Unguja, kwa lengo la kuimarisha mahusiano na Serikali ya Zanzibar katika sekta ya Elimu nchini.
Viongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar wakiwa na ujumbe wa Shirika la misaada la Sweeden SIDA, huko katika ofisi ya Waziri wa Wizara hiyo Mazizini Mjini Unguja.
Viongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar wakiwa na ujumbe wa Shirika la misaada la Sweeden SIDA, huko katika ofisi ya Waziri wa Wizara hiyo Mazizini Mjini Unguja.
No comments:
Post a Comment