Habari za Punde

Balozi wa Shirikisho la Jamuhuri ya Brazil Nchini Tanzania Ajitambulisha Kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Shein leo Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Heshima wa Shirikisho la Jamuhuri ya Brazil Zanzibar Bwa. Abdulsamad Abdulrahim, walipofika Ikulu Zanzibar na Balozi wa Brazil Nchini Tanzania Mhe. Antonio Augusto Cesar  katikati. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Balozi wa Shirikisho la Jamuhuri ya Brazil Nchini Tanzania Mhe Antonio Augusto Cesar, alipofika Ikulu Zanzibar leo kwa mazungumzo na kujitambulisha leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Shirikisho la Jamuhuri ya Brazil Nchini Tanzania Mhe Antonio Augusto Cesar alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi zawadi ya Mlanngo wa Zanzibar (Zanzibar Door) Balozi wa Shirikisho la Jamuhuri ya Brazil Nchini Tanzania Mhe Antonio Augusto Cesar, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu leo. 


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mgeni wake Balozi wa Shirikisho la Jamuhuri ya Brazil Nchini Tanzania Mhe Antonio Augusto Cesar wakitoka  ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza mazungumzo yao leo Ikulu Zanzibar.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.