Habari za Punde

KAIMU RPC TANGA AWATAKA WANAHABARI KUTUMIA KALAMU ZAO VEMA KUHABARISHA UMMA

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Tanga Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Daudi Mafwimbo akizungumza leo wakati wa siku ya maadhimisho ya siku ya uhuru wa habari Duniani ambapo kwa mkoa wa Tanga ilifanyika ukumbi wa Regal Naivera kushoto ni Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari mkoani Tanga (UTPC) Hassani Hashim anayefuatia ni Makamu Mwenyekiti wa UTPC Lulu George
Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari mkoani Tanga (UTPC) Hassani Hashim akizungumza wakati wa maadhimisho hayo kulia ni Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Tanga Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Daudi Mafwimbo kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa UTPC Lulu George
Katibu wa Klabu ya Waandishi wa Habari mkoani hapa Alex Abraham akiwasilisha taarifa kwenye maadhimisho hayo

Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari mkoani Tanga (UTPC) Hassani Hashim kulia akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti wa UTPC Tanga Lulu George.


AFISA Uhisiano wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Dorrah Killo akizungumza wakati wa maadhimisho hayo
Waandishi wa Habari kushoto ni Amina Omari kutoka Gazeti la Mtanzania na Raisa Saidi wa gazeti la Mwananchi wakifuatilia kwa umakini hotuba ya mgeni rasmi wakati wa maadhimisho hayo
Kamishna wa NCCR Mageuzi Mkoani Tanga Ramadhani Manyeko kulia akiwa na Mwandishi Mwandamizi wa gazeti la Citizen mkoani Tanga George Sembony kwenye maadhimisho hayo
Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Tanga Lupaksyo Kapange akiwa kwenye maadhimisho hayo
Sehemu ya waandishi kutoka vyombo mbalimbali mkoani Tanga wakifuatilia maadhimisho hayo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.