Habari za Punde

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UPANUZI WA KIWANDA CHA SARUJI CHA MBEYA MKOANI SONGWE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Songwe wakati akielekea kwenye kiwanda cha Saruji cha Mbeya ambapo aliweka jiwe la msingi la upanuzi wa kiwanda hicho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe kuashiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Upanizi wa Kiwanda cha Saruji cha Mbeya kilichoko Songwe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe kuashiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Upanizi wa Kiwanda cha Saruji cha Mbeya kilichoko Songwe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Saruji inayotengenezwa na kiwanda cha Saruji cha Mbeya kilichopo Songwe.
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.