Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa
Ujerumani hapa nchini Dkt. Detlef Waechter mara baada ya kuwasili Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Malte Loknitz kutoka Ujerumani (kushoto) ambaye alikuwa
akitambulishwa na Balozi wa Ujerumani hapa nchini Dkt. Detlef Waechter katikati
mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Balozi wa
Ujerumani hapa nchini Dkt. Detlef Waechter mara baada ya kumaliza kikao
chao na ujumbe kutoka nchini Ujerumani
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Ujerumani
hapa nchini Dkt. Detlef Waechter mara baada ya mazungumzo yao pamoja na Ujumbe
kutoka nchini Ujerumani Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na
Balozi wa Ujerumani hapa nchini Dkt. Detlef Waechter wasita kutoka kushoto,
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi watatu kutoka
kushoto, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance
Mabeyo watatu kutoka kulia pamoja na wajumbe wengine kutoka Ujerumani na
Tanzania.
Mjumbe
kutoka nchini Ujerumani Malte Loknitz akizungumza na vyombo vya habari kwa
lugha ya Kiswahili mara baada ya kikao chao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mjumbe kutoka nchini Ujerumani Malte Loknitz Ikulu jijini Dar es Salaam.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment