Habari za Punde

Tanzania Bara na Zanzibar Waibuka Kidedea Katika Mashindano ya Kuhifadhiu Quran ya Kimataifa Jijini Dar es Salaam.

Waziri  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu wa Rais Mstaafu, Gharib Bilal, wakati akiwasili kwenye Tuzo ya Kimataifa ya Quran Tukufu – Tanzania, yaliyofanyika Mei 26.2019,  katika ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es salaam
Waziri  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Hussein Mwinyi, wakati akiwasili kwenye Tuzo ya Kimataifa ya Quran Tukufu – Tanzania, yaliyofanyika   katika ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es salaam.
Mshindi wa kwanza wa Tuzo ya Kimataifa ya Quran Tukufu, Zakaria Sheha Ally, akisoma Quran Tukufu kwenye mashindano hayo, yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee
Waziri  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia waumini wa dini ya Kiislamu, waliyohudhuria kwenye Tuzo ya Kimataifa ya Quran Tukufu – Tanzania, iliyofanyika Mei 26.2019,  katika ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es salaam.
 Waziri  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi hundi ya dola 3000, mshindi wa tatu wa Tuzo ya Kimataifa ya Quran Tukufu – Tanzania, Shamsi Mwalimu Said, kutoka Zanzibar, kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es salaam
Waziri  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi hundi ya dola 4000, mshindi wa pili wa Tuzo ya Kimataifa ya Quran Tukufu – Tanzania, Gaffari Mohammed, tokea Uingereza,  kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es salaam
Waziri  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi hundi ya dola 5000, mshindi wa kwanza wa Tuzo ya Kimataifa ya Quran Tukufu – TanzaniaZakaria Sheha Ally, tokea Tanzania, kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es salaam
 No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.