Habari za Punde

HAPPY BITHDAY PRESIDENT FELIX TSHISEKEDI

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli akimpongeza Mgeni wake Rais  Felix Tshisekedi kwa kuadhimisha Siku yake ya Kuzaliwa kwa keki ya Birthday wakati wa hafla ya dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt.Magufuli amumwandalia mgeni wake Rais Felix Tshisekedi  keki ya Birthday ampongeza kwa kusherekea miaka 57 ya kuzaliwa akiwa nchinimTanzania Wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia Ikulu Jijini Dar es salaam
Rais Dkt.Magufuli akimtumbuiza  mgeni wake Rais Felix Tshisekedi akiwa na Wanamuziki Christian Bella, King Kikii na Christina Shusho  mara baada ya kumpa keki ya Birthday na kumpongeza kwa kusherekea miaka 57 ya kuzaliwa akiwa nchinimTanzania Wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia Ikulu Jijini Dar es salaam. June 13, 2019

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.