Habari za Punde

Mamia ya Wananchi wa Zanzibar Washiriki Katika Maziko ya DCP wa Jeshi la Polisi Tanzania Marehemu Azizi Juma Mohammed

DCP wa Jeshi la Polisi Tanzania G.Y.Kamwela akisoma wasifu wa Marehemu DCP Azizi Juma Mohammed, wakati wa hafla hiyo ya maziko iliofanyika katika makaburi ya mwanakwerekwe Wilaya Magharibi B Unguja, yaliofanyika jana 9-6-2019. Na kuhudhuria na Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. kushoto Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Hamad Yussuf Masauni na Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Mohammed Aboud Mohammed. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.