Habari za Punde

Wananchi Wakisherehekea Sikukuu ya Eid El Fitry Katika Viwanja Vya Mnazi Mmoja Zanzibar.Kwa Michezo Mbalimbali.

Wananchi wakiwa na Watoto wao katika viwanja vya Skikuu ya Eid El Fitry katika viwanja vya Mnazi Mmoja Zanzibar, wakiungana na Waumini wa Dini ya Kiislam Duniani kusherehekea Sikukuu ya Eid El Fitry  baada ya kumalizika kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.