Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi kulia wakati wa kuhitimisha hitma ya marehemu Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Mali Zanzibar Marehemu Abdalla Waziri iliofanyika katika Masjid Noor Mohammad Mombasa kabla ya kusaliwa kwa Mwili wa Marehemu katika masjid hiyo leo na kuzikwa Kijijini Kwao Muyuni Mkoa wa Kusini Unguja.
MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA WATUMISHI WA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI
ITALIA
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
akisalimiana na Watumishi mbalimbali wa Balozi wa Tanzania nchini Italia
wakati...
15 hours ago
No comments:
Post a Comment