Habari za Punde

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA Yawajengea Uwezo Wa Utumiaji wa Mtandao Watu Wenye Ulemavu Zanzibar Ukumbi wa Sheikh Idrisa AbdulWakil Kikwajuni Zanzibar.

Mamlaka ya Mawasiliani Tanzania Yatowa Elimu ya Matumizi ya Mitando kwa Watu wenye Ulemavu Visiwani Zanzibar, mafunzo hayo yamefanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar, kama wanavyoonekana pichani wakifuatilia mafunzo hayo wakipitia makabrasha ya TCRA wakati wa mafunzo hayo. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.