Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein Atembelea Mfano wa Kambi ya Skauti Viwanja Vya Maisara Suleiman Wakati wa Maadhimisho ya Miaka 107 Skauti Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Vijana wa Skauti walioandaliwa kwa ajili ya kumfunga Skafu ya Skauti alipowasili katika viwanja vya Maisara Suleiman kuhudhuria hafla hiyo ya Maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti Zanzibar, na kutembelea Kambi ya Mfano ya Skauti wakiwa msituni kwa mazoezi yao.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akifungwa kiskafu alipowasili katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar kuhudhuria hafla ya Maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti Zanzibar. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.