Habari za Punde

Wananchi Kisiwani Zanzibar Wakiwa Katika Harakati Marikiti Kuu ya Darajani.

Ikiwa imebakia Siku moja leo kumaliza Mfungu wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani unaotarajiwa leo kuandama na kusherehekea Sikukuu ya Eid Fitry kuungana na Waumini wa Kiislam kusherehekea siku hiyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.