Habari za Punde

Balozi Sokoine Afungua Mkutano wa Wawezeshaji wa Mashamba Darasa

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Balozi Joseph Sokoine (katikati)akihutubia wakati wa ufunguzi Mafunzo ya Msasa ya Uwezeshaji kuhusu Mashamba darasa kwa Maafisa viungo wa mradi kutoka Wizara na timu za uwezeshaji za wilaya wa mradi wa kurejesha ardhi iliyoharibika na kuongeza usalama wa chakula katika maeneo kame ya nchini (LDFS), yanayofanyika katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo, Morogoro, wengine pichani ni Mratibu wa Mradi huo Bw. Joseph Kihaule (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa Mazingira Bw. Faraja Ngerageza
Sehemu ya Wajumbe walioshiriki Mafunzo ya Msasa ya Uwezeshaji kuhusu Mashamba darasa kwa Maafisa viungo wa mradi kutoka Wizara na timu za uwezeshaji za wilaya wa mradi wa kurejesha ardhi iliyoharibika na kuongeza usalama wa chakula katika maeneo kame ya nchi (LDFS), yanayofanyika katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo, Morogoro

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Balozi Joseph Sokoine akizungumza na Profesa Henry Mahoo wa Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (katikati) na Dkt. Moses Temi Mkufunzi Mkuu wa Shamba Darasa katika kituo cha Mafunzo ya Kilimo Nkindo wilaya ya Mvomero mara baada ya kufunguaMafunzo ya Msasa ya Uwezeshaji kuhusu Mashamba darasa kwa Maafisa viungo wa mradi kutoka Wizara na timu za uwezeshaji za wilaya wa mradi wa kurejesha ardhi iliyoharibika na kuongeza usalama wa chakula katika maeneo kame ya nchi (LDFS), yanayofanyika katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo, Morogoro
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.