Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Afungua Maonesho ya Biashara Jijini Dar es Salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili katika viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa Road Jijini Dar es Salaam, kuhudhuria hafla ya Ufunguzi wa Maonesho ya 43 ya Kimataifa ya Biashara.uzinduzi huo umefanyika jana Julai 02, 2019. 
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.