Habari za Punde

Msanii wa Kizazi Kipya Biongo Flava Darasa Awapagaisha Wapenzi wa Muziku Huo Uzinduzi wa Msako Time Zanzibar.


Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Tanzania Darasa akitowa burudani wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Ofa ya Zantel katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Zanzibar, ya Msako Time kujipatia Ofa ya Internet kwa kujiunga kwa shilingi  500/= na zaidi kupata ofa hiyo kuazia saa tisa mchana hadi saa kumi na moja jioni.  


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.