Wajumbe kutoka Ubalozi wa Denmark nchini Tanzania, Deodatus Ngasa
(kulia) ,Jamila Kyembe na Abdalla Mohammed
Kapingo wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa waratibu wa kupambana na vitendo vya udhalilishaji, huko Kangagani Wilaya ya Wete
Pemba.
Ofisa Uendeshaji wa TAMWA Kisiwani Pemba Bi. Asha Mussa Omar, akizungumza na waratibu wa kupambana na vitendo vya udhalilishaji katika Shehia
6 za Wilaya ya Wete huko Kangagani Wilaya ya Wete, Pemba
MRATIBU wa kupambana na vitendo vya udhalilishaji shehia ya Kinyikani Mchaga mdogo, Mauwa Hemed akitoa maelezo kwa viongozi wa
TAMWA na wageni kutoka Ubalozi wa Denmark nchini Tanzania
huko Kangagani Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba.(Picha na Said Abdulrahaman - Pemba)
No comments:
Post a Comment