Afisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mkaguzi
Joseph Mwasabeja (kulia) akitoa elimu ya kukabiliana na majanga ya moto kwa Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega Bwa. Anderson Njiginya (wapili kulia) na Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima Bi. Elizabeth Gumbo (wapili kushoto), walipotembelea
Banda la Maonesho ya Nanenane simiyu.
Afisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mkaguzi
Joseph Mwasabeja (kulia) akitoa elimu ya kinga na tahadhari dhidi ya majanga ya
moto kwa Wakazi wa Mkoa wa Simiyu Bariadi na Mikoa ya Jirani, walipotembelea
Banda la Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Maonesho ya Nanenane simiyu
Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (Simiyu)
Konstebo Magreth Mabago (kusho) akitoa elimu ya kinga natahadhari dhidi ya
majanga ya moto kwa wanafunzi wa Simiyu Sekondari walipotembelea Banda la
Maonesho ya Nanenane simiyu.
Askari
wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Konstebo Robert Mates akitoa elimu ya kinga na
tahadhari dhidi ya majanga ya moto kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Banemhi,
walipotembelea Banda la Maonesho ya Nanenane simiyu.
Picha na Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji
No comments:
Post a Comment