Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wananchi wa Kizimkazi wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Kizimkazi iliofanyika katika Kijiji cha Mkunguni Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja leo.
Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Ndg. Idrisa Kitwana Mustafa akizungumza na Mkuu wa Kitengo cha Biashara Benki ya NMB Bi. Vicky P.Bisshumbo, wakiwa katika viwanja vya Kijiji cha Mkunguni Kizimkazi wakihudhuria hafla ya Siku ya Kizimkazi Day.
MKUU wa Idara ya biashara za Serekali kutoka Benki ya NNB Makao Makuu, Vicky P. Bishumbo, akielezea mashirikiano wanayoyatoa kwa wananchi wa Kizimkazi, wakati wa shamrashamra za siku ya Kizimkazi Day, zilizofanyika huko kizimkimkazi Mkoa wa Kusini Unguja.
WANANCHI mbalimbali waliojitokeza katika shamrashamra za siku ya Kizimkazi Day, zilizofanyika huko kizimkimkazi Mkoa wa Kusini Unguja
WANANCHI mbalimbali waliojitokeza katika shamrashamra za siku ya Kizimkazi Day, zilizofanyika huko kizimkimkazi Mkoa wa Kusini Unguja
Wanafunzi wa Skuli ya Maandalizi Kizimkazi wakionesha onesho la mavazi ya Utamaduni wakati wa shamrashamra za kuadhimisha Siku ya Kizimkazi Day zilizofanyika katika uwanja wa mkunguni.Mtoto Said Khamis akionesha vazi la Utamaduni la Chimba .
KIKUNDI cha ngoma ya Shomoo, wakitoa burudani, ya kunyanganyiana Pweza walomvua bila ya kuwepo kwa maji ya bahari, mbele ya mgeni rasmi na wananchi walofika katika shamrashamra za siku ya Kizimkazi Day, zilizofanyika huko kizimkimkazi Mkoa wa Kusini Unguja.
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluh Hassan, akimkabidhi mabati Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kusini Unguja Abdull Aziz Hamadi Ibrahim, kwaajili ya ujenzi wa tawi la CCM Mtende (PICHA NA ABDALLA OMAR).
No comments:
Post a Comment