Habari za Punde

Wafanyakazi wa Viwanja Vya Ndege Wapata Elimu ya Udhibiti wa Dawa Za Kulevya.

Meneja wa mamlaka ya Viwanja vya ndege Pemba, Fadhili Juma Ali,akifunguwa mafunzo ya Wadau na Watendaji wa Mamlaka hiyo juu ya udhibiti wa Dawa za Kulevya yaliofanyika katika ukumbi wa Mamlaka hiyo Pemba.

Mkurugenzi wa udhibiti na uchunguzi wa Tume ya Kitaifa ya kuratibu na udhibiti wa Dawa za Kulenya Zanzibar, Ndg.Juma zidikheri, akiwasilisha mada ya sheria ya Dawa za Kulevya namba 9 ya mwaka 2009 katika mafunzo ya kuwajengea uwezo watendaji  na Wadau wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege Pemba juu ya madawa ya udhibiti wa madawa hayo huko katika ukumbi wa mamlaka hiyo Pemba.
Wadau na Watendaji wa mamlaka ya Viwanja vya ndege Pemba , wakiwa katika mafunzo ya siku moja juu ya udhibiti wa dawa za kulevya yaliofanyika katika ukumbi wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege Pemba.
Wadau na Watendaji wa mamlaka ya Viwanja vya ndege Pemba , wakiwa katika mafunzo ya siku moja juu ya udhibiti wa dawa za kulevya yaliofanyika katika ukumbi wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege Pemba.
Picha na Hanifa Salim - Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.