Habari za Punde

Waziri Masauni aongoza kikao cha Baraza la Taifa la Usalama Barabarani Visiwani Zanzibar

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani  ya Nchi, ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza wakati wa Kikao cha Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani Visiwani Zanzibar, kulia ni Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano,Elias Kwandikwa. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
 Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano,Elias Kwandikwa ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani,Elias Kwandikwa akizungumza wakati wa Kikao cha Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani Visiwani Zanzibar.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
 Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini, Kamishna Mwandamizi Msaidizi, Fortunatus Musilimu, akizungumza wakati wa Kikao cha Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani Visiwani Zanzibar. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mjumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani,Hamza Kasongo akizungumza wakati wa Kikao cha Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani Visiwani Zanzibar. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mjumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani,Henry Bantu akizungumza wakati wa Kikao cha Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani Visiwani Zanzibar. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.