Habari za Punde

Zanzibar Kuendelea Kupambana na Maradhi Yasioambukiza

Mkuu wa Kitengo cha kupambana na maradhi yasioambukiza Zanzibar, Omar Mwalimu Omar, akizungumza machache wakati wa mkutano wa mradi wa kujadili maradhi yasioambukiza (UHCD) hafla iliofanyika hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni
Mkurugenzi  Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar, Jamala Adam Taib (kulia), akifungua mkutano wa mradi wa kupambana na maradhi yasioambukiza uliofanyika hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni (kushoto) ni Prof. Kjell Arne Johansson kutoka Norway 
Profesa Solomon Memirie, kutoka Nchi ya Ethiopia, akiwasilisha mada kwa wajumbe wa mkutano wa mradi wa kujadili maradhi yasioambukiza (UHCD) hafla iliofanyika hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni
Profesa Kjell Arne Johansson (katikati) kutoka Norway, akijibu baadhi ya michangio iliokua ikitolewa na wajumbe wakati wa mkutano wa mradi wa kujadili maradhi yasioambukiza (UHCD) hafla iliofanyika hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni.
 (Picha na Abdalla Omar ).  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.