Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya Malindi na Polisi Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu Hizo Zimetoka Sare ya Bila Kufungana.

 Mshambuliaji wa Timu ya Polisi akiwapota mabeki wa Timu ya Malindi wakati wa mchezo huo uluiofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu hizo zimetika sare bila ya kufungana.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.