Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya
kuwaapisha Viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Loata Sanare kuwa
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Alphayo Kidata
kuwa Katibu Tawala mkoa wa Mtwara katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Ally Possi kuwa
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo, Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Mary Maganga kuwa
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango anayeshughulikia Utawala katika
hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Mussa Lulandala
kuwa Balozi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Viongozi mbalimbali
walioapishwa wakila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Viongozi mbalimbali
walioapishwa wakila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Mheshimiwa
Samia Suluhu Hassan, Viongozi wengine wa Serikali Kuu katika picha ya pamoja na
viongozi waliopishwa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Sanare
kushoto pamoja na Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Morogoro Dkt Stephen Kebwe mara
baada ya hafla fupi ya Uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment