Habari za Punde

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Mwakyembe Afungua Mkutano wa Manaibu Waziri wa SADC Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Mchezo Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza wakati akifunga mkutano wa Mkutano wa Mawaziri wa SADC wa Sekta ya TEHAMA, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa wanaokutana kuanzia Septemba 16-18, 2019 jijini Dar es Salaam. Na unatarajia kumalizika Septemba 19-20, 2019. Picha zote na Matokeo Chanya+.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Mchezo Dkt. Harrison Mwakyembe na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Sekta ya Uchukuzi Bw. Leonard Chamriho wakifuatilia wakati wa kufunga mkutano wa Mkutano wa Mawaziri wa SADC wa Sekta ya TEHAMA, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa wanaokutana kuanzia Septemba 16-18, 2019 jijini Dar es Salaam. Na unatarajia kumalizika Septemba 19-20, 2019.
Manaibu waziri wa wa SADC wa Sekta ya TEHAMA, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa wakifuatilia.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.